Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Brother tusikariri,hajataja ni wapi kama yupo nje ya Dar kuna sehemu wanafanya ujenzi kwa tofali za kuchoma na nyumba zinakuwa imara.Siyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yako Kiongozi wangu, mambo niaje mkuu?
Wengi tumehamia ikiwa nyumba haijaisja na ukiingia nyumba ya namna hyo lazima moyo ukusuteNakupongeza kijana kwa kazi nzuri uliyofanya.
Nakushauri weka choo ya nje ya muda, weka tank la maji na gutters za kuvuna maji ya mvua.
Imarisha security ya milango na madirisha uhamie, ili fedha ya kupanga ikusaidie kwenye finishing.
Umenifurahisha kama ni kweli.
Ubarikiwe!!
Utakuta unamsema hivyo mwenzako wakati unakaa kwa shemeji dadaako akiachika na wewe huna makaziSiyo "DRILL"ni GRILL,halafu kwa 12,000,000/= na umepaua basi unawezakuwa umejenga mchanga mtupu,hiyo ni hela ya kujenga room mbili bila finnishing kuanza,hata mfumo wa maji safi ndani hujaweka,na hapo utakuwa umepaua na bayi za gauge 30,mbao zilizokuwa treated na oil chafu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka bhanaa si ulnambia tyrTulihashamia 2016 sept 30!labda useme yangu kama mm[emoji28]!
Kwasasa nyumba mie sio kipaumbele changu!...!...jingine?
Hmm! AiseeMimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
Brother tusikariri,hajataja ni wapi kama yupo nje ya Dar kuna sehemu wanafanya ujenzi kwa tofali za kuchoma na nyumba zinakuwa imara.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ni shida, na hapo umebananabanana na mafundi wa mitaani, umezunguka maduka kupata material za bei nafuu hadi karikaoo umeenda, ingejengwa na injinia hadi sasa ingekuwa inasoma milioni 100.Hmm! Aisee