Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Brother tusikariri,hajataja ni wapi kama yupo nje ya Dar kuna sehemu wanafanya ujenzi kwa tofali za kuchoma na nyumba zinakuwa imara.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Nakupongeza kijana kwa kazi nzuri uliyofanya.
Nakushauri weka choo ya nje ya muda, weka tank la maji na gutters za kuvuna maji ya mvua.
Imarisha security ya milango na madirisha uhamie, ili fedha ya kupanga ikusaidie kwenye finishing.
Umenifurahisha kama ni kweli.
Ubarikiwe!!
 
Wengi tumehamia ikiwa nyumba haijaisja na ukiingia nyumba ya namna hyo lazima moyo ukusute
 
Utakuta unamsema hivyo mwenzako wakati unakaa kwa shemeji dadaako akiachika na wewe huna makazi
 
Mimi nimejenga nyumba ya kawaida yenye vyumba vitatu, sebule, dining, jiko na vyoo vya ndani kama hiyo ya kwako. Kwenye paa pekee nimetumia milioni 15 na kidogo. Hapa ilipo imeshatafuna almost milioni 50 na bado sijakamilisha finishing za tiles, gypsum, skimmimg/plaster, kupiga rangi, milango na kuweka madirisha ya aluminium. Inawezekana upo sahihi unaposema umejenga kibanda...
 
Hmm! Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…