Nimejenga kibanda changu vyumba 3, sebule ndogo, jiko dogo, store, choo na bafu la ndani kwa Sh 12,000,000

Zimekaa kimbitiyaza.
 
Kama ushaezeka uko vzr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niamini Mimi 100 % na mke ushatombewa!
 
Pamoja mimi bado sijaanza kufanya ujenzi.Napenda kutoa ushauri juu ya misingi mafundi hupenda kuwekeza.
Nathani muda mwingine watu wanapoteza pesa nyingi sana kwenye msingi.
Kuna mchanga na sehemu ambazo zinahitaji msingi mnene au mrefu nk. Wajenzi wanajua hili.
 
Kwamba anamtakatishia Fedha....!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Room za mchanga mtupu hizo,na finnishing ya wavu wa mbu uliogongea na mbao,ukuta uluopigea chokaa ukapigea immulsion,tiles zinazoishi miezi 4 baada ya hapo vumbi,choo hakifahamiani na nyumba,bati za mwalimu,plaster mfuko mmoja kwa ndoo/karai 72,mwanao akichora ukutani kila kitu kinapukutika.
Room mbili ni 6M inatosha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana,lakini kujenga ni opportunity za mara chache katika maisha,jenga hata room mbili master tupu,public toilet,sitting,dinning na open kitchen,lakini uwe na madirisha makubwa,nyumba iwe kozi 11 kabla ya renta,ufanye finnishing ya kweli,hata maisha yakikulazimisha kuishia hapo kwenye mambo ya ujenzi uwe unaenjoy,siyo tu ile"NIISHI KWANGU"huna raha kila siku?
Jenga hata hiyo ndogo kwa muda mrefu lakini iwe ni sehemu ya kuishi,siyo kujibanza bana.
Mbona unatukatisha tamaa wenye vipato vidogo mkuu[emoji852][emoji852][emoji852]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
m
 
Exactly,jenga room hata mbili lakini pawe HOME,siyo kujificha au ile "NAISHI KWANGU",jenga hata taratibu lakini maliza kibabe.
Hapo nahisi hakuna plaster. Hakuna ceiling board ya aina yoyote. Mbao ni zile rejected.
Imejengwa kama za Wapemba was jenga uza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuliko unavyodhani,tena huwa sijengi na tofari za nchi 5,mimi ni kuta zilizoshiba,nchi 6, A-Z.
Dirisha za kibabe,finnishing kali,bora nitumie muda mrefu lakini kila nikimaliza najua nimejenga.
Umeshawahi kujenga mkuu? Unajua chumba kimoja matofali mangapi yanaingia mkuu? Chumba cha ft 12 x 10?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huongei na mpangaji hapa ndugu,usije ukawa umejenga corridor huko ukadhani watu hawana akili.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiliko unavyodhani,tena huwa sijengi na tofari za nchi 5,mimi ni kuta zilizoshiba,nchi 6, A-Z.
Dirisha za kibabe,finnishing kali,bira nitumie muda mrefu lakini kila nikimaliza najua nimejenga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo useme chumba kimoja kinaingia matofali mangapi? Na pia sinazungumzia unajengea matofali ya nchi ngapi? Ukizingatia hizo ft ni standard kwa chumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…