Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

Nimejenga nyumba hii kwa 4,500,000/=

wakuu hamuwezi amini ninejikakamua kujenga Nyumba hii kwa bei tajwa hapo juu, kumbe kila kitu ni maamuzi tu.

View attachment 80541
Hapa itakuwa tofali ulifyatua mwenyewe kwa kutumia udongo wa bure, ukazichoma mwenyewe halafu fundi ukawa pia ni mwenyewe, yaani unajua kujenga na wakati wa kujenda ulkuwa na vibarua wa nyumbani kwako ambao hukuhitaji kuwalipa. Ulichofanya wewe ni kununua cement, mabati pamoja na mbao. Possibly hata kupaua pia unajua. Kwa hiyo kwa analyisis hii, inawezekana kabisa hela hiyo kujenga nyumba hii nzuri ambayo nimeipenda. Hongera sana na ubarikiwe.
 
Mnakataa nn nanyumba ndohiyo jamani swala la ubora mwachieni mwenyewe amethubutu hongera nyingi kwake
 
Huyo kapiga nyumba ya watu picha bati zinaonyesha ni nyumba ya zamani mno. Hata hivyo kuna namna imechakaa.
 
Back
Top Bottom