Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?
Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.
Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.
Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.
Sisi hatuna msaada jiandae tu kisaikolojia kuwa na huo mkia wa kondoo...
mrudie kamwambie tatizo limekuwa ni kubwa....
Hivi mtu inakuwaje unaenda kwa hao waganga wa kienyeji....its known ni matapeli.
Hospitali zipo kwa ajili yetu
mmmmh,huyo mganga balaa! nenda kamuone Dr atakusaidia na huyo mchezo basi tena nadhani ushafanya vyakutosha,au niulize unamiaka mingapi?Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?
Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.
Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.
Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?
Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.
Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.
Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.
Mkuu kwani watu walivyo furika kwa babu wa loliondo hawakujua kama hospitali zipo? mfumo wetu wa afya ni .............,
Daud kipara, hivi unajua kuwa wajinga ndio waliwao??
Hebu fanya haya.... japo matokeo hautayapata mapema....
- Acha kupiga hiyo nyeto yako na usirudie tena
- Fanya mazoezi ya mwili
- Fanya mazoezi ya kengo
- Achana na vyakula visivyoleta tija mwilini km vile sembe, chips, soda especially cola, na utumie vyakula vyenye kuleta tija km dona, meet n.k
- Jaribu kusahau yaliyopita na uondoe hofu uliyonayo kuhusu nguvu za kiume kuisha