Nimejichua na majani ya mgomba nimepata matatizo naomba ushauri

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?

Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.

Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.

Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.
 
mrudie kamwambie tatizo limekuwa ni kubwa....

Hivi mtu inakuwaje unaenda kwa hao waganga wa kienyeji....its known ni matapeli.

Hospitali zipo kwa ajili yetu
 
Sisi hatuna msaada jiandae tu kisaikolojia kuwa na huo mkia wa kondoo...
 
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?

Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.

Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.

Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.

Huyo Mganga Na Wewe Wote Ni Pentium Zero!
 
Nenda kwa mchungaji aliepo maeneo ulipo mwelezee atakusaidia. Kwa rehema na kweli uovu husafishwa.
 
mrudie kamwambie tatizo limekuwa ni kubwa....

Hivi mtu inakuwaje unaenda kwa hao waganga wa kienyeji....its known ni matapeli.

Hospitali zipo kwa ajili yetu

Mkuu kwani watu walivyo furika kwa babu wa loliondo hawakujua kama hospitali zipo? mfumo wetu wa afya ni .............,
 
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?

Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.

Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.

Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.
mmmmh,huyo mganga balaa! nenda kamuone Dr atakusaidia na huyo mchezo basi tena nadhani ushafanya vyakutosha,au niulize unamiaka mingapi?
 
Pole sanaa mkuu kwa kuanza tu.. Uweunapata kikombe kimoja cha tangawizi kisichowekwa sukari kila siku asubuhi kwa siku 5
 
Sasa umeshajaribu kama ulivyoshauriwa?
Mnaenda kwa matapeli mkiona dalili ya utapeli mnakimbilia humu.............. mbona kabla hujaenda kwa huyo mganga hujapitia humu kuomba ushauri?
 
Wakuu naombeni wenye ufahamu kuhusu hili anisaidie hata kwa ushauri, nini nifanye?

Kuna mgaga wa kienyeji nilienda kumweleza tatizo langu la ukosefu wa nguvu nikwambia wakati nasoma mchezo wa punyeto niliucheza sana.

Akaniambia majani ya mgomba ndio dawa, endepo nitafanya kale kamchezo kwa kutumia yale majani itakuwa ni tiba kwa tatizo langu.

Sasa tatizo limekuwa ni kubwa.

Daud kipara, hivi unajua kuwa wajinga ndio waliwao??

Hebu fanya haya.... japo matokeo hautayapata mapema....
  1. Acha kupiga hiyo nyeto yako na usirudie tena
  2. Fanya mazoezi ya mwili
  3. Fanya mazoezi ya kengo
  4. Achana na vyakula visivyoleta tija mwilini km vile sembe, chips, soda especially cola, na utumie vyakula vyenye kuleta tija km dona, meet n.k
  5. Jaribu kusahau yaliyopita na uondoe hofu uliyonayo kuhusu nguvu za kiume kuisha
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwani watu walivyo furika kwa babu wa loliondo hawakujua kama hospitali zipo? mfumo wetu wa afya ni .............,

Licha ya hivyo...ni ujinga pia...unadanganywaje na witch doctor?

Haiingii akilini
 
Daud kipara, hivi unajua kuwa wajinga ndio waliwao??

Hebu fanya haya.... japo matokeo hautayapata mapema....
  1. Acha kupiga hiyo nyeto yako na usirudie tena
  2. Fanya mazoezi ya mwili
  3. Fanya mazoezi ya kengo
  4. Achana na vyakula visivyoleta tija mwilini km vile sembe, chips, soda especially cola, na utumie vyakula vyenye kuleta tija km dona, meet n.k
  5. Jaribu kusahau yaliyopita na uondoe hofu uliyonayo kuhusu nguvu za kiume kuisha

Mkuu Bill ubarikiwe sana mpendwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom