Jana wakati nimekaa tayari kutaka kuangalia mechi ndio yakatokea yale ya washabiki lakini mimi sitaki kuongelea lile tukio maana tumeliona sote macho yangu yalikuwa kwa Police.
Kwa kweli wenzetu na weledi mkubwa sana jinsi walivyokuwa wanawaondoa mashabiki uwanjani mpaka kule nje ni kama wanatembea taratibu police wako line moja hata kama kulitokea wawili waliumia kidogo lakini weledi wa hali ya juu. Sasa tupate picha ingekuwa ndio yametokea uwanja wetu wa Mkapa.
Kama naona mbwa wakiuma watu, virungu na kukalishwa chini kwenye matope hapo bado mabomu ya machozi na watu wanafukuzwa kila kona bado kelele za police ving'ora bado matusi na ubabe.