King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,117
- 6,897
Nabii Shila na Nabii Nyuki je?
Acha ubaguzi Mkuu unajifanya Nabii Tito hujamuona sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nabii Shila na Nabii Nyuki je?
Nani anayesababisha hali hii? Walipokuja kututawala walitukuta hivi?Mkuu acha tu, Africa ni bara lililopoteza uelekeo.
Wazungu ni watu wastarabu sana, hawana unyama kiasi hicho
Ndio maana YESU alikuwa mzungu.
Na uwezo aliokuwa nao angekuwa mwafirika nadhan yangetokea mengine.
Big up mkuu. Nature ya polisi wetu ni wale waliotufundisha upolisi wa aina hii. Polisi wetu enzi za akina rugaruga hawakuwa hivi. Wao ndo walitubadilishia tabia ya polisi.Labda tunaenda nje ya mada lakini nataka niliweke hili katika hali nayoijuwa mimi na ni maoni yangu binafsi. Mimi naamini wazungu, wa Africa mpaka wa Asia na huko kote watu ni wazuri sana maana hata dini tuliziamini kwa kuletewa tu. Lakini tatizo jiulize kwanini mitume wote wametokea mashariki ya kati? na naongelea mpaka Israel ni kwa sababu watu wanaotoka maeneo haya walikuwa makatili sana na wagumu kuamini na hii ni mpaka leo ndio maana hata habari zao hawaamini kama mtu kauliwa mpaka waone anauliwa na kalala chini lakini hata hapo bado watakaa kusema ni fake, news zao kwenye TV kumwagika damu mtu kukatwa au kupigwa risasi kawaida tu lakini huwezi kuona haya nchi zingine. Mitume wangapi walishushiwa na dalili zote lakini bado walikuwa wanawakana baada ya muda, walishushiwa mpaka mujiza ili waamini lakini walimjaribu mpaka Mungu wayahudi walimfanya nini Yesu? aliwafufua mpaka katika umauti lakini asubuhi wakamkana. kwa hili eneo la mashariki ya kati kama Mungu aliwajuwa hawa watu roho ngumu. Hebu tuangalie ingekuwa hawa mitume walishushwa Africa au Europe unadhani wangeamini lazima wangeendelea kuabudu misanamu. Sisi huku tuliletewa tu dini na watu na tumeamini na uhakika na huu ustaarabu wa police tunaweza tu ikiwa mafunzo yatatolewa police kuwa wastaarabu sio adui wa watu, nguvu inatumika pale tu inapobidi sio mtu akikohoa tu fimbo na rungu.
Hata hivo watu wakule niwastarabu kidogo,Maandamano hayo yangelikuwa taifa ungeona viti vinangolewa, matairi yanachomwa,nyavu zinachanwa, milango ya uwanja inangorewa, lakini kule hauwezi kuona kitu kama hicho,watu wanaandamana kwa kufikisha ujumbe,wakiisha maliza kufikisha ujumbe wanatawanyika, inabidi nasi huku tuwe wasitarabu kidogo, Police mpaka kuja kupiga watu marungu wameisha toa onyo sana la kutawanyika.Polisi wa Tanzania tabu Sana[emoji1787][emoji1]
Yaani ungekuwa Jana ndio tz aisee this time watu wangekuwa mochwari au ICU
Polisi wa TANZANIA hawana weledi wowote katka kazi zao .
Wanaongozwa na hisia zaidi na matamko ya kisiasa
Professionalism ni zero
Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app