Nimejifunza pakubwa kuhusu elimu ya fedha baada ya jamaa yangu kuchukua mkopo wa Milioni 10 kazini kwake ili anunue gari

Nimejifunza pakubwa kuhusu elimu ya fedha baada ya jamaa yangu kuchukua mkopo wa Milioni 10 kazini kwake ili anunue gari

Status ama hadhi Iko juu Sasa hivi Mana gari na anakula mbususu effortlessly.
Kuna mambo tunafanya na sie tupate heshima kwa jamii yetu tuishio, Kila mtu ana hitaji lake moyoni mwake
🤣🤣🤣🙌
 
Kifupi...kama umetokea familia maskini, hata wakuambie vp kuhusu kukopa kununua gari au kujenga, huwezi elewa....tujitahid tu watoto wetu wasianze from 0,
 
Kwenye maisha kila mmoja anakipaumbele chake. Mwl. Kaamua anataka gari anakopesheka na amepata,wanakopa wabunge wananunua magar,sembuse mwl. Kila mtumishi wa serikali akitaka vitu km gari,kujenga n.k. bila kukopa haiwezekani labda aibe,sio mwl. tu.
Mwl. Aachwe na hayo ndio maendeleo yenyewe. Experience aliyoipata itampeleka hatua nyingine next time.
 
Mkopo kopa pale umelazimika kwa yaani mf. Kwa ajili ya matibabu, malazi au chakula ulikosa kwa vitu ambavyo ukikosa havikuathiri kuishi achana nao.
 
Tuzijenge familia zetu kwa kesho iliyobora ikiwa pamoja na kufanya uwekezaji...
 
Back
Top Bottom