Kuna Supermarket hapo Ilala inalipa 84,000 annually sas hebu nitajie guide book gan walitumia hawa.?Si kweli kwamba wanajipigia tu wanavyotaka.. Kuna guide book yao ambayo wanaifata kwa aina za biashara ambazo hazina vitabu vya mahesabu
Naona unawashwa wewe, matusi ya nini sasa!?? C uelezee taratibu, halafu ye c kaenda sema ukweli, alitakiwa aulize iko vp kwa wazoefu, unakuwa kama unapumuliwa bhana [emoji84]Usiwe lofa ww estimated annual income ya huyo ni too much na ukizingatia hana kampun kubafff sas umcheke kwa lipi wakat kosa ni la TRA.? kuna kampun ya Bima hapa dsm inalipa 134,500 annually na ina branch kama 4 hvi zikiwemo Posta, Msasan na Sinza huko sas kwa muuza Genge analipishwa 318,000 unajisif kabisa eti ungemcheka hvi ni akil au utaahira.?
Huwezi kupata leseni bila kuwa na TAX CLEARANCE ambayo unaipata TRA, ukishapewa TIN aunaenda tra wanakuuliza maswali ya mtaji ulionao na aina ya biashara unayotaka kufanya, wanakadiria mapato yako kwa siku, halafu wanakadiria kodi, unaenda kulipa benk, ukirudi na slip ya malipo ndipo unakwenda kuomba leseni ukiwa umeambatanisha copy ya TIN na hiyo TX clearance., bila hiyo HAKUNA KUPATA LESENI.Kwani kupata TIN si inakuwa bure then unakwenda Manispaa kwa ajili ya Leseni au
Warrap big fella..Meku mambo vipi bosi...
Amelipa mwaka gani?? Kwasababu kima cha chini kabisa cha kodi ni 150,000/- sasa wewe hiyo 84,000 unayosema ni either fix unapiga hapa au imelipwa kwa kipindi cha miezi 6...Kuna Supermarket hapo Ilala inalipa 84,000 annually sas hebu nitajie guide book gan walitumia hawa.?
Kwanza ulichokiandika hapa sidhani kama kina ukweli..Usiwe lofa ww estimated annual income ya huyo ni too much na ukizingatia hana kampun kubafff sas umcheke kwa lipi wakat kosa ni la TRA.? kuna kampun ya Bima hapa dsm inalipa 134,500 annually na ina branch kama 4 hvi zikiwemo Posta, Msasan na Sinza huko sas kwa muuza Genge analipishwa 318,000 unajisif kabisa eti ungemcheka hvi ni akil au utaahira.?
Haaa wew tena unasema me Napumuliw halaf unanionya kuhus matusi.? Wew si ndo mwalimu wa wanaopumuliwa.? Wanafunzi wako waliohitimu si ndo yule mmoja alihojiwa Clouds Tv [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona unawashwa wewe, matusi ya nini sasa!?? C uelezee taratibu, halafu ye c kaenda sema ukweli, alitakiwa aulize iko vp kwa wazoefu, unakuwa kama unapumuliwa bhana [emoji84]