szarkey
Member
- Aug 12, 2014
- 87
- 69
Kuna Supermarket hapo Ilala inalipa 84,000 annually sas hebu nitajie guide book gan walitumia hawa.?Si kweli kwamba wanajipigia tu wanavyotaka.. Kuna guide book yao ambayo wanaifata kwa aina za biashara ambazo hazina vitabu vya mahesabu