Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

Wapendwa leo ninaruhusiwa kurudi home hali yangu imekuwa nafuu...........

Asanteni wote muwe na siku njema.......
 
Wapendwa leo ninaruhusiwa kurudi home hali yangu imekuwa nafuu...........

Asanteni wote muwe na siku njema.......
DAAAAH pole my dear
relax bwana haya ni mambo ya dunia yanapita mamiii
 
aaaaahhhgh.. kumbe BP hata hunish2i ingekuwa PUMA kidooogo ungenirusha mutima........
 
Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Yaani ndio umeona eti utoe pole sasa na wewe???

Unan'chekesha!

Halafu Kipipi na wewe
Nimekumissije aise
Hebu niambie ile no ya mtandao wa mzee Small inapatikana au umeishiwa voucher nikutumie
Nimekumiss kweli yaaani
 
Last edited by a moderator:
Mkeo mwenyewe kaugua hata chungwa hujapeleka, seuze kunitumia vocha mie!
Kipipi nimepeleka kila aina ya tunda na juice unazojua
na leo amerudi nyumbani kuna maua na wine aipendaye pamoja na supu ya kumpa nguvu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…