trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 744
Pole sana my dear, BP kwa wanawake wengi hutokana stress za wanaume. Usijali Mungu ni mwema na akuponye haraka.
We ni KE au ME?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana my dear, BP kwa wanawake wengi hutokana stress za wanaume. Usijali Mungu ni mwema na akuponye haraka.
DAAAAH pole my dearWapendwa leo ninaruhusiwa kurudi home hali yangu imekuwa nafuu...........
Asanteni wote muwe na siku njema.......
Wapendwa leo ninaruhusiwa kurudi home hali yangu imekuwa nafuu...........
Asanteni wote muwe na siku njema.......
Yaani unazidi kuniudhi bora hata usisemeshe kabisa
Pole sana Dear Dena Amsi
usisikilize majungu ya Mungi maana amezidi sana
mara mniko na sweetlady mara Kabakabana mara FP sasa sijui yupi ni yupi
Ni mimi na wewe tuu dear
Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Yaani ndio umeona eti utoe pole sasa na wewe???
Unan'chekesha!
Halafu Kipipi na wewe
Nimekumissije aise
Hebu niambie ile no ya mtandao wa mzee Small inapatikana au umeishiwa voucher nikutumie
Nimekumiss kweli yaaani
Kipipi nimepeleka kila aina ya tunda na juice unazojuaMkeo mwenyewe kaugua hata chungwa hujapeleka, seuze kunitumia vocha mie!
Mmmmhhh@kipipi acha kunidhalilishia mume pulizi Mr Rocky yuko bamper to bamper na mimi