Nimejikuta BP iko juu mpaka kulazwa

nimejaribu kutafakari sana ni jambo au mazingira gani nimkute mmme au bf yanifanye nizimie au BP ipande nakuapia nimekukuta uchi,fumanizi ,nitacheka mpaka niamguke atlafu natema mate naondoka zangu.siwezi ,kufa mie bure hata siku moja
 
Kusema hushindwi lakini ndo umfume kweli, afu upige picha ule utamu anaokupaga ndo anampa mtu mwingine, yale mauno ndo anamkatia kibushuti mwingine, zile kelele ambazo huwa anapiga akiwa juu yako ndo amempigia mtu mwingine afu unajiuliza amekosa nini kwako hadi aende kwa mwingine, kabla hujapata jibu wallah nakuapia utajikuta uko shingoni mwake aisee
 
nimejaribu kutafakari sana ni jambo au mazingira gani nimkute mmme au bf yanifanye nizimie au BP ipande nakuapia nimekukuta uchi,fumanizi ,nitacheka mpaka niamguke atlafu natema mate naondoka zangu.siwezi ,kufa mie bure hata siku moja

Yasikie kwa DA tu yasikukute pulizi....hongera km huwezi hivyo
 
Mh! I hope kifo chake hakihusiani na stress za huyu mwanaume ambazo zilimsababishia stress za hali ya juu hadi kufikia kulazwa hospitali. Inasikitisha sana.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…