Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kipipi nimepeleka kila aina ya tunda na juice unazojua
na leo amerudi nyumbani kuna maua na wine aipendaye pamoja na supu ya kumpa nguvu
Lazima ujitahidi kwa sababu unajua wapi umeharibu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipipi nimepeleka kila aina ya tunda na juice unazojua
na leo amerudi nyumbani kuna maua na wine aipendaye pamoja na supu ya kumpa nguvu
nimejaribu kutafakari sana ni jambo au mazingira gani nimkute mmme au bf yanifanye nizimie au BP ipande nakuapia nimekukuta uchi,fumanizi ,nitacheka mpaka niamguke atlafu natema mate naondoka zangu.siwezi ,kufa mie bure hata siku moja

Yasikie kwa DA tu yasikukute pulizi....hongera km huwezi hivyo
Wewe mgonjwa inabidi tukunyanganye mawasiliano ili utulize akili.
Updates ntakuwa naweka mimi.
Ngoja kesho nakuja.
Hujaiona hii TANZIA: Mwana JamiiForums mkongwe, Dena Amsi afariki duniaGet well.soon my dear!!
Niombeeni ni matokeo ya Stress za wanaume nyie lakini nyie aaahhh
Nasikia kulala sababu ya dawa na sindano za kujaribu kushusha BP
Niombeeni wapendwa.
DA
Updates
Wapendwa nawashukuruni woote asanteni sana muendelee kuniombea bado niko Hospital ila imetolewa kwnye oksijemi.
Mungu awabariki sana.
Updates
Wapendwa naendelea vizuri kidogo asanteni kwa maombi yenu wooooooote Mungu aabariki ila sijatoka Hospital bado nimelazwa