Nimejikuta KIGOMA

Nimejikuta KIGOMA

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,711
Reaction score
35,644
Nimeamka nimejikuta Kigoma nikazurura wee nikaenda Uvinza saivi nipo Kasulu tour inaendelea mliopo hapa tuwasiliane.

Ila jamaa wa huku ni WABISHI balaa

PROBOX a.k.a MCHOMOKO ndo usafiri mkuu hapa yaan we tembelea BMW hapa wanakuona fala tu kama una gari yakuuza leta PROBOX utauza fasta..

Kasulu VUMBI hatari jekunduuuuu

Uzi tayari

Update zitakuja hapa hapa usiondoke.

Maisha yananipeleka resi sana aisee
20190607_150736.jpeg
20190529_181452.jpeg
2019-06-08%2009.48.40.jpeg
 
Ndo naamka niende kupambana nipate mkate waleo na kesho[emoji481][emoji41]
1559976825979.jpeg
 
Naomba upite hapo kwa Rose mata*o upate supu ya kuku gharama kwangu.
 
Ukiachana na Fursa ya kuuza Probox kipi Kingine umeona? Vipi Miamala ya mobile money? Vipi Bar na Guest house, Vipi Taxi na boda boda? vipi migahawa? vipi maduka ya nguo nguo mitumba au za kichina? vipi mashine za kamari, Vipi vibanda vya kubetisha?
 
Hapa mashine za kamari fresh. Mitumba wanachukua Burundi
 
Back
Top Bottom