EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Nimeamka nimejikuta Kigoma nikazurura wee nikaenda Uvinza saivi nipo Kasulu tour inaendelea mliopo hapa tuwasiliane.
Ila jamaa wa huku ni WABISHI balaa
PROBOX a.k.a MCHOMOKO ndo usafiri mkuu hapa yaan we tembelea BMW hapa wanakuona fala tu kama una gari yakuuza leta PROBOX utauza fasta..
Kasulu VUMBI hatari jekunduuuuu
Uzi tayari
Update zitakuja hapa hapa usiondoke.
Maisha yananipeleka resi sana aisee