EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
-
- #21
Ulivyodai siku hizi hayapo, kwani Roz kahama pale??
Nimefika mkuuMkuu ulifika hadi Lugufu makao makuu ya wilaya ya uvinza? VP Yale mabanda ya mchina bado ni ofisi za DC?
I miss those days in Kigoma.
Nimefika mkuuView attachment 1121650
[emoji23][emoji23]I think no changes mkuu, hapa ulinikuta msala Fulani nikaishia kutupwa selo kule uvinza town
FM pako poa ndyo, sema wenzio kilichokuwa chawapeleka pale ni uumbaji wa Allah!!.Nlipewa sifa si nkaenda kuangalia. Bora hapa FM panabamba na ka CLUB kakupotezea usiku
Story ndefu mkuu acha tu yani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipiga denti
Story ndefu mkuu acha tu yani
Sijafika kuna kipi mzee baba niende saiviMakaburi wazi vp?
Huko sio home, ni matembezi tu kama sehemu ya Tanzania.Rudi home kumenoga[emoji28][emoji28]
Huko sio home, ni matembezi tu kama sehemu ya Tanzania.
Pamoja mkuu.Okey mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23], makaburi wazi ni dizaini za Kimboka.Sijafika kuna kipi mzee baba niende saivi
Ila usinichote kama wa Matako Bar nikakuta LCD tv
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23], makaburi wazi ni dizaini za Kimboka.
Nipe code nikaone panafananaje maana nimeenda MUBASHARA nikachoka kabisa[emoji23][emoji23][emoji23], makaburi wazi ni dizaini za Kimboka.