Nimejikuta KIGOMA

Nimejikuta KIGOMA

Mkuu ulifika hadi Lugufu makao makuu ya wilaya ya uvinza? VP Yale mabanda ya mchina bado ni ofisi za DC?
 
Fm Bar kuna DJ mzee wamiaka 70+ ila anagonga ngoma kali balaa[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mkuu ulifika hadi Lugufu makao makuu ya wilaya ya uvinza? VP Yale mabanda ya mchina bado ni ofisi za DC?
Nimefika mkuu
2019-06-08%2014.37.18.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipiga denti
[emoji23][emoji23]I think no changes mkuu, hapa ulinikuta msala Fulani nikaishia kutupwa selo kule uvinza town
 
Maana masela kibao washakimbia huo.msala

Ila wengine wanadakwa
Screenshot_2019-06-07-21-12-57.jpeg
 
Back
Top Bottom