Nimejikuta nacheza na majoka

Mi mwenyewe juzi nimeota ndoto kila ninapokanyaga kuna nyoka, afu weengi na wengine wana sura mbaya kwelikweli
 
Nimewakosea nini hao watu?

Mathayo 10: 36 na adui za mtu ni wale wa nyumbani mwake.

Zaburi 55:12 Kwa maana aliyetukana si adui;
Kama ndivyo, ningevumilia.
Aliyejitukuza juu yangu siye anichukiaye;
Kama ndivyo, ningejificha asinione.
13 Bali ni wewe, mtu mwenzangu, Rafiki yangu, niliyejuana nawe sana.
14 Tulipeana shauri tamu; na kutembea Nyumbani mwa Mungu pamoja na mkutano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…