comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hapo haipendwi avatar mkuu, kinachopendwa ni thread na comments zao.
Hata mimi huwaga inanitokea.
Kuna siku1 nilinyegereshwa hadi nikataka kuuza ng'ombe nipost'ela!
Usisahau kunitagKesho nakufungulia uzi jinsi navyokupenda daah
Silali mwezi wa nne huu
Hapo zamani za kale nilikupenda wee mtoto sana
Kwenye lile tangazo lako la kutafuta mume si ajabu na mafurushi yalikuja [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
😂😂😂😂😂Mimi na umbea umbea mweee natoaje macho hapa nipo kwa free basics ndo nilikuwa nahama niingie tigopesa njiunge kifurushi nimuone huyo mdada maana nikahisi labda free basics inazingua kumbe mazafanta wote sakayo, swetliee na wengine mliotafuna bange mchana
Yeah I dig the wrong hole..Afadhali sasa imekuwa history
You're welcome my dear!Jamaani mumie, this is too huge for me!!
thank you.!!
Ukivuta tulichovuta sisi utavua nguoNdio nini kuvuta peke yenu wadau?
HahahahahahaNdio nini kuvuta peke yenu wadau?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi na umbea umbea mweee natoaje macho hapa nipo kwa free basics ndo nilikuwa nahama niingie tigopesa njiunge kifurushi nimuone huyo mdada maana nikahisi labda free basics inazingua kumbe mazafanta wote sakayo, swetliee na wengine mliotafuna bange mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi na umbea umbea mweee natoaje macho hapa nipo kwa free basics ndo nilikuwa nahama niingie tigopesa njiunge kifurushi nimuone huyo mdada maana nikahisi labda free basics inazingua kumbe mazafanta wote sakayo, swetliee na wengine mliotafuna bange mchana