Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Hapo haipendwi avatar mkuu, kinachopendwa ni thread na comments zao.
Hata mimi huwaga inanitokea.
Kuna siku1 nilinyegereshwa hadi nikataka kuuza ng'ombe nipost'ela!

[emoji23][emoji23][emoji23]awa viumbe sii vizuri afu ukute ni men
 
Mimi na umbea umbea mweee natoaje macho hapa nipo kwa free basics ndo nilikuwa nahama niingie tigopesa njiunge kifurushi nimuone huyo mdada maana nikahisi labda free basics inazingua kumbe mazafanta wote sakayo, swetliee na wengine mliotafuna bange mchana
😂😂😂😂😂
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi na umbea umbea mweee natoaje macho hapa nipo kwa free basics ndo nilikuwa nahama niingie tigopesa njiunge kifurushi nimuone huyo mdada maana nikahisi labda free basics inazingua kumbe mazafanta wote sakayo, swetliee na wengine mliotafuna bange mchana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom