Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Wambea tumeambulia patupu...
Ndo nini eti
Njopino come this way please, niambie hata kwa kipare mhenga wangu mzuri
 
Dahh! Zile sifa alizo kumwagia nilidhani ameongeza chumvi
Ila hii comment yako ina nithibitishia kuwa jamaa yupo sahihi

Nendeni PM mkayamalize
 
Wambea tumeambulia patupu...
Ndo nini eti
Njopino come this way please, niambie hata kwa kipare mhenga wangu mzuri
Sorry my queen for late response😂😂 umenifanya nicheke kweli kweli, mana baada ya kuitika wito ikabidi nirudi juu kutafakari maelezo ya kijana na kisha kusoma maelezo ya bibie. Kijana sehemu ya kwanza amejieleza vizuri ila mistari inayofuata amemuwashia kwenye gia tena namba 4, ndio mana bibie akamzimia mlimani wakati wa kupandisha. Sasa basi aliyoyaongea Bi dada ni mazito mno, sijui tuyajadilie wapi haya mambo🤔🤔
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…