Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
BroCode Rule #67Mimi sio kama hivi vivulana vyenu vya humu MMU
Never insult another bro just to impress a lady, NEVER!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BroCode Rule #67Mimi sio kama hivi vivulana vyenu vya humu MMU
Sasa my KingSorry my queen for late response[emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kweli kweli, mana baada ya kuitika wito ikabidi nirudi juu kutafakari maelezo ya kijana na kisha kusoma maelezo ya bibie. Kijana sehemu ya kwanza amejieleza vizuri ila mistari inayofuata amemuwashia kwenye gia tena namba 4, ndio mana bibie akamzimia mlimani wakati wa kupandisha. Sasa basi aliyoyaongea Bi dada ni mazito mno, sijui tuyajadilie wapi haya mambo[emoji848][emoji848]
BroCode Rule #67
Never insult another bro just to impress a lady, NEVER!!
Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.Sasa my King
Wewe ndo umenipoteza kabisaa my dear.. kwanza umeanza na kiTrump.. huko ulikoendelea ndo kabisaa lugha gonganaa .
Hebu njoo chumbani kwanzaa tuyajadili
Kinge kingereza aiseee embu tufanyie translation tuweze kuelewa kama umemkubalia au lah bibie SweetieLeeSorry for the late response was little occupied,
Hate to disappoint you by telling you that there is a hollow difference between 'Expectation and Reality'.. Don't expect too much from people who use fake ID's, fake avatars and moreover they've hide their true personality behind those goddamned keyboards,
If there's 'next time' just be more careful though we have taught to live positively but there are few to trust nowadays..!!
And for this, I am humbled and I do heartily appreciate it Mortdecai, you've been a way too confident..!
Much gratitude to you.!!
Mi Mzee kijana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mzee mwenzangu.
Kaka eeMimi nilikuja aisee ukanikataa[emoji24][emoji24]
Mwanaume kuwa na ID ya kike Ni USHOGA[emoji350] narudia Tena ni USHOGA[emoji351] kama wewe ni mwanaume na una ID ya kike wewe ni SHOGA [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351] Bila shaka Volume inatosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naweza kuja au tayari nishachelewa? Au nami ni furushi? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mi Mzee kijana
Nilikua nategemea jibu la kiswahili..[emoji17][emoji17]Sorry for the late response was little occupied,
Hate to disappoint you by telling you that there is a hollow difference between 'Expectation and Reality'.. Don't expect too much from people who use fake ID's, fake avatars and moreover they've hide their true personality behind those goddamned keyboards,
If there's 'next time' just be more careful though we have taught to live positively but there are few to trust nowadays..!!
And for this, I am humbled and I do heartily appreciate it Mortdecai, you've been a way too confident..!
Much gratitude to you.!!
[emoji23][emoji23] unaniachaga hoi na "sawa...."Sawa....
Usijali kabisaa my King...Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.
Shida ya chumbani, utanisubirisha mlangoni afu ukani 'Disappoint' bure, otherwise, Promise...
Miss sana my lady.
Wambea tutaambia nini watu jamaniNilikua nategemea jibu la kiswahili..[emoji17][emoji17]
Sorry for the late response was little occupied,
Hate to disappoint you by telling you that there is a hollow difference between 'Expectation and Reality'.. Don't expect too much from people who use fake ID's, fake avatars and moreover they've hide their true personality behind those goddamned keyboards,
If there's 'next time' just be more careful though we have taught to live positively but there are few to trust nowadays..!!
And for this, I am humbled and I do heartily appreciate it Mortdecai, you've been a way too confident..!
Much gratitude to you.!!
[emoji2][emoji2] nimepata dictionary hapa nataka nin'gamue walau machacheWambea tutaambia nini watu jamani
Usinisahau tafadhali...[emoji2][emoji2] nimepata dictionary hapa nataka nin'gamue walau machache