Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Sorry my queen for late response[emoji23][emoji23] umenifanya nicheke kweli kweli, mana baada ya kuitika wito ikabidi nirudi juu kutafakari maelezo ya kijana na kisha kusoma maelezo ya bibie. Kijana sehemu ya kwanza amejieleza vizuri ila mistari inayofuata amemuwashia kwenye gia tena namba 4, ndio mana bibie akamzimia mlimani wakati wa kupandisha. Sasa basi aliyoyaongea Bi dada ni mazito mno, sijui tuyajadilie wapi haya mambo[emoji848][emoji848]
Sasa my King
Wewe ndo umenipoteza kabisaa my dear.. kwanza umeanza na kiTrump.. huko ulikoendelea ndo kabisaa lugha gonganaa .

Hebu njoo chumbani kwanzaa tuyajadili
 
Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.
Shida ya chumbani, utanisubirisha mlangoni afu ukani 'Disappoint' bure, otherwise, Promise...
Miss sana my lady.
 
Sorry for the late response was little occupied,

Hate to disappoint you by telling you that there is a hollow difference between 'Expectation and Reality'.. Don't expect too much from people who use fake ID's, fake avatars and moreover they've hide their true personality behind those goddamned keyboards,

If there's 'next time' just be more careful though we have taught to live positively but there are few to trust nowadays..!!

And for this, I am humbled and I do heartily appreciate it Mortdecai, you've been a way too confident..!
Much gratitude to you.!!
Kinge kingereza aiseee embu tufanyie translation tuweze kuelewa kama umemkubalia au lah bibie SweetieLee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanaume kuwa na ID ya kike Ni USHOGA[emoji350] narudia Tena ni USHOGA[emoji351] kama wewe ni mwanaume na una ID ya kike wewe ni SHOGA [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351] Bila shaka Volume inatosha
 
Nauliza tu mwenyekiti wa hiki kikao ni nani?

Naomba mwongozo wa kinachoendelea hapa ndugu zanguni?
 
Sorry for the late response was little occupied,

Hate to disappoint you by telling you that there is a hollow difference between 'Expectation and Reality'.. Don't expect too much from people who use fake ID's, fake avatars and moreover they've hide their true personality behind those goddamned keyboards,

If there's 'next time' just be more careful though we have taught to live positively but there are few to trust nowadays..!!

And for this, I am humbled and I do heartily appreciate it Mortdecai, you've been a way too confident..!
Much gratitude to you.!!
Nilikua nategemea jibu la kiswahili..[emoji17][emoji17]
 
Sorry my princess kwa kukugonganishia lugha, ila code zinahitajika kidogo ili mambo yawe sawa.
Shida ya chumbani, utanisubirisha mlangoni afu ukani 'Disappoint' bure, otherwise, Promise...
Miss sana my lady.
Usijali kabisaa my King...
Hizo code ndo sizitakii jamani!!
Nisamehe mimi jamani, mesahau hupendi disappointment!!
 
Duh kweli jamaa alifanya utafiti

Back
Top Bottom