Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Nimejikuta nampenda huyu mdada wa JF

Status
Not open for further replies.
Embu njoon kweny kikao Mara moja tumsaidie jamaa
IMG-20190904-WA0008.jpeg
 
Sometimes Love emotions arise anywhere, And ain't guilty to say how you feel about someone whom you love.

Sio mchangiaji sana humu ila ni msomaji mzuri wa mada mbali mbali..
Nimejikuta navutiwa na mdada mmoja anaitwa SweetieLee
Ukiangalia uandishi wake (hua anaandika Lugha safi iliyonyooka either Eng or Swal) Utagundua ni msichana mmoja Smart, Self Determinant, Funny, Very straight Person, Adorable, Friendly kinda, Slef made girl, Care and Kindly Hearted to others..

Ni mengi mno nimeyaona kwa huyu mdada baada ya kufanya assessment kwa kutumia Post zake. Nachelea kusema nimempenda huyu mdada nasubiri Go ahead yake tu nimfuate Pm kama hatojali.

Nimekupenda bure we mdada ujiitae SweetieLee njoo uokoe jahazi lililobeba moyo wangu wenye upendo kwako, maana moyo wangu waona wewe ndio nahodha pekee unayeweza kufikisha jahazi hili pwani. Nakupenda sana

Why do fools fall in love?

Thats a Hollywood blockbuster movie tittle!
 
Tayari umekwisha anza kutamani mke wa mtu!!, asalaleee!! 🙉🙉
 
Mkuu umechelewa mabaharia tushatia nanga.

Back
Top Bottom