Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
- Thread starter
- #301
mumpumzishe Crush wangu aseeNakazia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mumpumzishe Crush wangu aseeNakazia
Google hayapoo[emoji23][emoji23][emoji23] na ulishindwa kabisa kwenda hata google!!
Nope. Nimependa tu kujua. Sikujua kamba watu mna wajina wenu humuthis is jealous now??
JamaniHapana sakayo. Nimeona ulivyoomba msamaha kwa huruma hadi nikakuonea huruma
Pale inapotokea una mtetezi humu ndani, naomba na kupigana ngumi ujue nitakuwa na matumizi na huo ujuzi..mumpumzishe Crush wangu asee
😂 😂 😂Hahahahaha
Nani kakufa eti
Kila ninaadamu aliyezaliwa na mwanamke hua yuko hvo. Sema hua tunafifiza roho hiyo kwa kiburi na Tamaa.Jamani
Huwa naumiaga mnoo kumkwaza mtu mimi..
Najitahidi vizuri upande huo wa kuzichapa. Though I'm not that fan with thatPale inapotokea una mtetezi humu ndani, naomba na kupigana ngumi ujue nitakuwa na matumizi na huo ujuzi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Angalia yasije yakakutokea haya kwenye hii video clip.
Daby ni muhariri mwandamizi wa gazeti la udaku JF 😂
Hewaala...wewe kazi unayoifanya niyakutukuka kabisa....usiache na usikawie kuniita popote.Daby ni muhariri mwandamizi wa gazeti la udaku JF [emoji23]
Hahaha..Khaa..ndugu mjumbe hautaki niitwe? Nachukua notice hapa taratibu.
Kwa hilo tu 😂 wala hata usihofuHewaala...wewe kazi unayoifanya niyakutukuka kabisa....usiache na usikawie kuniita popote.
HahahahahaNakazia