Nimejiona mjinga kwa kupiga Kura 2015 & 2020

Mtu unamheshimu vzr tuu, anaamka asubuhi, kichwani anasema naenda kupiga kura, mbaya zaidi ni kuipigia kura ccm.

Huyu mtu anaweza kula hata nyama ya mwanadamu mwenzake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…