Nimejipanga hivi 2017, wewe umejipangaje?

Nimejipanga hivi 2017, wewe umejipangaje?

Hebie

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2012
Posts
1,414
Reaction score
868
Zikiwa zimebaki siku chache tuumalize mwaka 2016 na tuuanze mwaka mpya 2017 kuna mengi natajia kufanya ili kuinua kipato.

1. Biashara ya KUPAMBA MAARUSI/KUMBI, hapa sina experience kabisa hivyo nitapenda kupata ushauri namna ya kuianza, vifaa vya kuanza navyo na changamoto zake.

2. Kilimo cha matunda mfano matikiti na mapapai, hapa pia sijawahi kufanya je changamoto zake ni zipi?


Naombeni ushauri ipi ni nzuri ukizingatia nimeajiriwa sekta ya elimu na nipo mkoani Rukwa

NOTE; No 1. Kuna haja ya kuisomea kazi hiyo na kama ndiyo je chuo kipo wapi?

No. 2 najua kila kona kunawatalaam hapa si ishu kubwa ila vipi soko la matunda tajwa likoje na mbegu bora ni zipi?

Ahsanteni natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom