nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So nikawa nawapangia tu muda tofauti tofauti.
Nashukuru nimetuna, likizo hii sijakaa kinyonge, tuwe wabunifu vijana wenzangu ajira hamna ila kazi zipo tele.
Jumatatu naenda kazini fresh.
Nashukuru nimetuna, likizo hii sijakaa kinyonge, tuwe wabunifu vijana wenzangu ajira hamna ila kazi zipo tele.
Jumatatu naenda kazini fresh.