mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
hivi wale wanaokuwa na tuiton centres si ndo hela nje nje?pamoja sana mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi wale wanaokuwa na tuiton centres si ndo hela nje nje?pamoja sana mkuu
Laki na nusu ni mshahara wa mlinzi kwa mweziiyo laki na nusu dereva bajaji anaingiza ndani ya siku mbili
route ya mbezi manzese manzese mbezi
mentality za hivi zikikita mizizi kwa vijana wetu hasa wa kiume ni hasara.Laki na nusu ni mshahara wa mlinzi kwa mwezi
Ni mshahara wa dada wa kazi kwa miezi mitatu
Ni mshahara wa wafanya usafi kwenye maofisi baadhi
Ni mtaji mkubwa sana kwa machinga na watembeza juice, wauza matunda, karanga, mifuko na mama ntilie mitaank
Hata mimi naweza kuiona 150k ni ndogo lakini sio mbaya kumuacha jamaa awe motivational speaker peacefully pia
Basi Kaka usizitaje mkuu ,hawakujui hawa 😂unajua nina biashara ngap?
Jaman!ila wee jamaa sasa hapo akajipongeze halafu???Haya njoo nikupeleke bar yenye madem wazuri ukajipongeze
dharau mbaya sanaKila mtu ana level yake ya kuona kipi cha juu na chenye thamani kwake.
ule uzi umefungwa mzeeHaya mkeo kasemaje juu ya dogo kuchukua maandazi kwenye deli ? Na shati jipya ?
Mmemalizana na waifu ?
Hongera kwa uthubutu
Mimi nshawah vuta laki tatu siku hz nimekuwa mvivu Ila Kigamboni uswahili mwingi hapa kufundisha hupati mwanafunzi labda nisake ng'ambo kama mwanzoni
Ni sawa ila si hasara kama kushinda vijiweni na kutegemea mishangazi.mentality za hivi zikikita mizizi kwa vijana wetu hasa wa kiume ni hasara.
Hamasa kwa laki na nusu.Wape hamasa kwa michongo ya mamilioni.Mbona huwapi ushauri juu ya mchongo unaofanya miezi mingine ya mwaka? Au maisha ni Desemba tu kwako?Mkuu hiyo ni upande wangu mmoja tu, nimeitoa iyo kuwapa hamasa vijana hunijui
Hiyo inawatosha bossHamasa kwa laki na nusu.Wape hamasa kwa michongo ya mamilioni.Mbona huwapi ushauri juu ya mchongo unaofanya miezi mingine ya mwaka? Au maisha ni Desemba tu kwako?
Nani kaufunga mkuuule uzi umefungwa mzee
Be online, stay positive.Hiyo inawatosha boss