Nimejipatia Tsh. 150,000 likizo hii kwa kufundisha masomo majumbani

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Mungu mkubwa japokuwa tuition yangu ni majumbani nawatembela watoto wa kishua hapa mtaani. Nilifanya savey mwezi wa 10 mwishoni hapa mtaani, kweli baada ya likizo nikapigiwa na wazazi wanne. So nikawa nawapangia tu muda tofauti tofauti.

Nashukuru nimetuna, likizo hii sijakaa kinyonge, tuwe wabunifu vijana wenzangu ajira hamna ila kazi zipo tele.

Jumatatu naenda kazini fresh.
 
well done teacher 💪👊
 
Hongera sana mkuu kwa kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…