Etwege
JF-Expert Member
- Jul 4, 2018
- 8,105
- 20,307
Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa .
1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru.
2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America
3. Mauaji ya kutisha ya watanzania Oktoba 29
4. Hamna mradi wowote wenye akili Serikali hii imeanzisha
5. Serikali hii ya Samia imeiweka hatarini CCM kuondolewa madarakani kwa nguvu ya wananchi muda wowote na hata ikikomaa ila 2030 hawachomoki.