Nimejiridhisha laana ya damu ya Humphrey Polepole na Mdude Nyagali ni kali

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
8,105
Reaction score
20,307
Kwa yanayoukuta utawala wa awamu ya pili wa Rais Samia ni balaa .
1. Rais Samia alijigamba kuifungua nchi lakini amekuja kuifunga kuliko Rais yoyote tangu uhuru.
2. Serikali ya Samia imetengwa kutoka ndani ya nchi hadi nje ya nchi, Rais Samia amepigwa marufuku ziara za Ulaya na America
3. Mauaji ya kutisha ya watanzania Oktoba 29
4. Hamna mradi wowote wenye akili Serikali hii imeanzisha
5. Serikali hii ya Samia imeiweka hatarini CCM kuondolewa madarakani kwa nguvu ya wananchi muda wowote na hata ikikomaa ila 2030 hawachomoki.
 
MO 29 bila kutumia silaha za kivita ,kuzima internent na kuua wazalendo walikuwa wanaenda na MAJI.
 
Hakuna kitu inaitwa laana ni just illusion

USSR
 
Endelea kuwashabikia mashoga wenzako wewe dada elitwege
 
MO 29 bila kutumia silaha za kivita ,kuzima internent na kuua wazalendo walikuwa wanaenda na MAJI.

..hamna kitu.

..kwanini hakupanda dau na kuwahonga waandalizi wa maandamano wayasitishe?

..billioni 200 alizochangiwa amezifanyia nini?

..hivi Mange Kimambi na Maria Sarungi wanamzidi vipi Mama Abduli ktk kushawishi Watanzania kuandamana?
 
Acha tu mdau...
Hali ni tete...
 
Watakuja kukanusha hapa vichwa vigumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…