Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnoooo!!!hujui tu umelitaja kama loteee!!!

Nami nshakua JF SWEET HEART please!!,naomba kulindiwa cheo changu tafadhali!!!
Naomba siku ya pati etu tukutambue kama jf sweetheart official,au unasemaje...wozaah


She is kwa kweli. She nice and sweet!
 
Quite the opposite, maandishi yanabeba taswira ya mtu kwa kiasi kikubwa, unaweza kumchunguza mtu kwa maandishi yake na ukajua haiba yake...i believe so!!!
Nakubaliana na wewe,
Nilikuwa naongelea kwa hapa JF...wengi tunachoandika sicho kinacho tuwakilisha
 
Nilikuwa napenda sana lile jina la Dina, yani kidogo nikujie inbobo!!![emoji16][emoji16][emoji41]
 
Hilo buchu limenifikia[emoji16]
 
Unaona sasa wewe upo The Hague unapatana kuna wengine wanaleta za Bosnia na Chechnia Ila
Umeona eeehh!!!
Ujue nini? ktk maisha haya tujiepushe sana na mijiugomvi isiyokuwa na maana tujifunze kupembua pumba na mchele, halafu kupitia kwako nimejifunza kuna tofauti kubwa kati ya mwenye ajira rasmi, anayetunza family na aliyetulia tofauti na yule mshinda online masaa zaidi ya 18 kufungua akaunt kujiquote kujianzishia skendo, hakuna kazi wala biashara msingi kiuno akitoka kwa harry anaenda kwa jerry na kujaribu kuwachafua wengine kwa kusema fulani anamtaka bwanangu wakati huyo unayemuambia au unaowaambia wanawake Wenzako wanapeana channel za biashara, kazi wewe unabaki kutembeza upupu pm na whatsapp.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…