General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Wewe umewasamehe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnoooo!!!hujui tu umelitaja kama loteee!!!
Nami nshakua JF SWEET HEART please!!,naomba kulindiwa cheo changu tafadhali!!!
Naomba siku ya pati etu tukutambue kama jf sweetheart official,au unasemaje...wozaah
Quite the opposite, maandishi yanabeba taswira ya mtu kwa kiasi kikubwa, unaweza kumchunguza mtu kwa maandishi yake na ukajua haiba yake...i believe so!!!Kumbe kwenye maandishi tu?
Pole sana.
Maandishi Mengi hayabebi uhalisia wa mtu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweee...hunitakii mema wewe!!akuuu!!Naomba siku ya pati etu tukutambue kama jf sweetheart official,au unasemaje...wozaah
😂😂😂😂[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] weweee...hunitakii mema wewe!!akuuu!!
Sitaki Mimi nije kunangwa hapaa!!!!kwa style hii cheo nagawa cha uswitheart!!!
Nakubaliana na wewe,Quite the opposite, maandishi yanabeba taswira ya mtu kwa kiasi kikubwa, unaweza kumchunguza mtu kwa maandishi yake na ukajua haiba yake...i believe so!!!
Nilikuwa napenda sana lile jina la Dina, yani kidogo nikujie inbobo!!![emoji16][emoji16][emoji41]Binam kwanini mimi umenitaja kwani mimi sihitaji usalama [emoji23] ,mi bana anaenichukia achukie tu moyo wangu mweupee ,atakaeona ananichukia mpaka anahisi kufa nipo Mwanza hadi na location nitampa nilipo
hata ungewaomba msamaha huku unalia hawakosekani wa kukuanzishia zengwe binadam bana mi nishaamua kuwaangalia wafanye wanavyotaka ni vizuri kwao
Hilo buchu limenifikia[emoji16]Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure[emoji16][emoji16]kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale[emoji23][emoji23]woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...
Cc:members wote wa jf[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]muah muah,.tusikose tuu pati disemba[emoji6][emoji6]yay
Aww yeah😘😘na lingine hilo,..Hilo buchu limenifikia[emoji16]
😜😜oh na na naah😉Oh my, oooh my!
Mother Confessor!!!
Amenitupia buchu lingine, langu peke yangu. Leo nitalala kama mtoto...[emoji16][emoji16]Halikuhusu bwanaa[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
Ujue nini? ktk maisha haya tujiepushe sana na mijiugomvi isiyokuwa na maana tujifunze kupembua pumba na mchele, halafu kupitia kwako nimejifunza kuna tofauti kubwa kati ya mwenye ajira rasmi, anayetunza family na aliyetulia tofauti na yule mshinda online masaa zaidi ya 18 kufungua akaunt kujiquote kujianzishia skendo, hakuna kazi wala biashara msingi kiuno akitoka kwa harry anaenda kwa jerry na kujaribu kuwachafua wengine kwa kusema fulani anamtaka bwanangu wakati huyo unayemuambia au unaowaambia wanawake Wenzako wanapeana channel za biashara, kazi wewe unabaki kutembeza upupu pm na whatsapp.Umeona eeehh!!!