Hahaaa...ntaambiwa muhamiaji haramu jamani...wengine siye kwetu ni kando kando ya Ziwa kabisaa...Hahaha!, hata aje RC wa Dodoma tutapigania taji aseh! 😀
Hahahaaaa....kaka ely79 loooOh my, oooh my!
Mother Confessor!!!
Bina hujafanya vizuri kutotaja hao washkaji zako wa kiume teh
Bana bina sisi hatujawahi kukwaruzana na hata tukikwaruzana (God forbid); nafikiri mkwaruzo utaomba msamaha automatically na mambo yataendelea. So peace reigns, na uendelee tu kuwa that "strong lady". Unajua venye nakuaminia
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11][emoji11]nyie watuuu
It's heating up Vero, it's heatingiiii!!! Huenda nikapigwa buchu live ..dah, au likaishia hewani....kama hivi!!Hahahaaaa....kaka ely79 looo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] amu una nini lakinii!!Unaona sasa wewe upo The Hague unapatana kuna wengine wanaleta za Bosnia na Chechnia Ila
Ujue nini? ktk maisha haya tujiepushe sana na mijiugomvi isiyokuwa na maana tujifunze kupembua pumba na mchele, halafu kupitia kwako nimejifunza kuna tofauti kubwa kati ya mwenye ajira rasmi, anayetunza family na aliyetulia tofauti na yule mshinda online masaa zaidi ya 18 kufungua akaunt kujiquote kujianzishia skendo, hakuna kazi wala biashara msingi kiuno akitoka kwa harry anaenda kwa jerry na kujaribu kuwachafua wengine kwa kusema fulani anamtaka bwanangu wakati huyo unayemuambia au unaowaambia wanawake Wenzako wanapeana channel za biashara, kazi wewe unabaki kutembeza upupu pm na whatsapp.
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niongezee[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]It's heating up Vero, it's heatingiiii!!! Huenda nikapigwa buchu live ..dah, au likaishia hewani....kama hivi!!
CC: Mother Confessor
Em niambie unataka live live bila chenga etii...😊It's heating up Vero, it's heatingiiii!!! Huenda nikapigwa buchu live ..dah, au likaishia hewani....kama hivi!!
CC: Mother Confessor
Hahaaa...ntaambiwa muhamiaji haramu jamani...wengine siye kwetu ni kando kando ya Ziwa kabisaa...
Nshaanza kuliogopa baada ya kuskia natakiwa nionekane siku ya jf party[emoji23][emoji23][emoji3]
Unaona sasa wewe upo The Hague unapatana kuna wengine wanaleta za Bosnia na Chechnia Ila
Ujue nini? ktk maisha haya tujiepushe sana na mijiugomvi isiyokuwa na maana tujifunze kupembua pumba na mchele, halafu kupitia kwako nimejifunza kuna tofauti kubwa kati ya mwenye ajira rasmi, anayetunza family na aliyetulia tofauti na yule mshinda online masaa zaidi ya 18 kufungua akaunt kujiquote kujianzishia skendo, hakuna kazi wala biashara msingi kiuno akitoka kwa harry anaenda kwa jerry na kujaribu kuwachafua wengine kwa kusema fulani anamtaka bwanangu wakati huyo unayemuambia au unaowaambia wanawake Wenzako wanapeana channel za biashara, kazi wewe unabaki kutembeza upupu pm na whatsapp.
Haha...umeona eehh!siku hyo nataka nitafute kona moja matata kabisaa nijifichee!!nione vituko vya watu humoo ili niwacheke vzrHahah!, eti muhamiaji haramu...lol!
Hapana bwana usiliogope. Hatuwezi ku force uonekane. Tusije kukupoteza bure.
Oh yeah,.😂Nafikir analitaka hilo hilo hebu Fanya umpatie
Hahahahaa jomoniiiAnasema Leo atalala kama mdoli etiquette
Dah! Nyie watu nina nini na nyie leo[emoji16][emoji16][emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja niongezee[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Haha...umeona eehh!siku hyo nataka nitafute kona moja matata kabisaa nijifichee!!nione vituko vya watu humoo ili niwacheke vzr
Live bila chenga, mama konfesa, then tuta konfesi baada ya hilo buchu.[emoji16][emoji16][emoji16]Em niambie unataka live live bila chenga etii...[emoji4]