Unaona sasa wewe upo The Hague unapatana kuna wengine wanaleta za Bosnia na Chechnia Ila
Ujue nini? ktk maisha haya tujiepushe sana na mijiugomvi isiyokuwa na maana tujifunze kupembua pumba na mchele, halafu kupitia kwako nimejifunza kuna tofauti kubwa kati ya mwenye ajira rasmi, anayetunza family na aliyetulia tofauti na yule mshinda online masaa zaidi ya 18 kufungua akaunt kujiquote kujianzishia skendo, hakuna kazi wala biashara msingi kiuno akitoka kwa harry anaenda kwa jerry na kujaribu kuwachafua wengine kwa kusema fulani anamtaka bwanangu wakati huyo unayemuambia au unaowaambia wanawake Wenzako wanapeana channel za biashara, kazi wewe unabaki kutembeza upupu pm na whatsapp.