Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Mi bila kujibu pm yangu cjakusamehe..ikizingatiwa kwamba ilikua na umuhimu mkubwa kwako na serikali kwa ujumla
 
Kifo sio imani kifo kipo na watu wanakufa tunawaona,endelea kutenda mema mbele ya binadamu wenzako si kwa kuamini kwamba utaenda kuhojiwa na Mungu ila kwa sababu we mwenyewe hupendi kufanyiwa hayo,by the way siku ya hukumu ni imani ambayo sidhani kama hiko kitu kipo
Uwe na Jumapili njema!!
 
Bina hujafanya vizuri kutotaja hao washkaji zako wa kiume teh

Bana bina sisi hatujawahi kukwaruzana na hata tukikwaruzana (God forbid); nafikiri mkwaruzo utaomba msamaha automatically na mambo yataendelea. So peace reigns, na uendelee tu kuwa that "strong lady". Unajua venye nakuaminia
Binamu hao mmewataja nawapenda yaani nje ndani...hawajawahi nikosea...

Hao wa kiume naogopa zile 'labda ,labda..'[emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16]!!!

Ahsante binamu yangu!nakupenda sanaaaaa!!I'm strong and I will always be....!!kwa neema za Mungu
 
Back
Top Bottom