Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Mi bila kujibu pm yangu cjakusamehe..ikizingatiwa kwamba ilikua na umuhimu mkubwa kwako na serikali kwa ujumla
 
Kifo sio imani kifo kipo na watu wanakufa tunawaona,endelea kutenda mema mbele ya binadamu wenzako si kwa kuamini kwamba utaenda kuhojiwa na Mungu ila kwa sababu we mwenyewe hupendi kufanyiwa hayo,by the way siku ya hukumu ni imani ambayo sidhani kama hiko kitu kipo
Uwe na Jumapili njema!!
 
Binamu hao mmewataja nawapenda yaani nje ndani...hawajawahi nikosea...

Hao wa kiume naogopa zile 'labda ,labda..'[emoji16][emoji23][emoji3][emoji16][emoji16]!!!

Ahsante binamu yangu!nakupenda sanaaaaa!!I'm strong and I will always be....!!kwa neema za Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…