Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Kwa kweli mimi kama nimemkosea mtu hiyo ni balance c/d tuende nalo hadi mwakani iwe balance b/d.
 
Kwa kweli mimi kama nimemkosea mtu hiyo ni balance c/d tuende nalo hadi mwakani iwe balance b/d.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] dark angel bwanaa!!!Mimi hapana thiweziii!!!
 
maneno mazuri yenye busara...safi.
natamani na mimi niCopy niPaste uzi wa hivi kuomba radhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…