carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Dah!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nakukumbusha; Jibu la mtongozo wangu pm maana nimekusamehe hata kabla hujaomba huu msamaha
Mi ndio nimeona uzi nimempa mbonaAfu mademu wote alowataja hawajakupa like hata moja till now
Hahaaa...wewe ni ke jamani!!hakuna shida hata kukutaja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!hao hapo nimewataja tu kama sampo!!Binam kwanini mimi umenitaja kwani mimi sihitaji usalama [emoji23] ,mi bana anaenichukia achukie tu moyo wangu mweupee ,atakaeona ananichukia mpaka anahisi kufa nipo Mwanza hadi na location nitampa nilipo
hata ungewaomba msamaha huku unalia hawakosekani wa kukuanzishia zengwe binadam bana mi nishaamua kuwaangalia wafanye wanavyotaka ni vizuri kwao
Nipe Mimi location nije nianzishe zengwe hapo.Binam kwanini mimi umenitaja kwani mimi sihitaji usalama [emoji23] ,mi bana anaenichukia achukie tu moyo wangu mweupee ,atakaeona ananichukia mpaka anahisi kufa nipo Mwanza hadi na location nitampa nilipo
hata ungewaomba msamaha huku unalia hawakosekani wa kukuanzishia zengwe binadam bana mi nishaamua kuwaangalia wafanye wanavyotaka ni vizuri kwao
Mimi sikumbuki kama umenikosea,ila nimekusamehe.Mambooozzz!!unajua katika maisha waweza pitia mambo mengi kutana na vingi...jf imekua sehemu ya maisha yangu mmepata marafiki humu,maadui humu n.k
Binadamu lazima awe na mapungufu yake kulingana na asili yake...kuna muda naweza kua nimemkosea either kwa kudhamiria or kutodhamiria kumkosea mtu au watu...kwa sababu ni binadamu..
Mimi nimelelewa mazingira ya kuwaomba watu msamaha awe mkubwa au mtoto mpk madenti nikiwakoseaga huwaga nawaombaga radhi kwa sababu naamini kuna KARMA...
Huwaga sioni aibu kuomba radhi kwa makosa yangu au kujishusha maisha yaendelee...huwaga sipendi kuishi na vinyongo,makwazo wala chuki na mtu....!
Kama nilivyosema awali humu jf kuna watu yaweza kua nimekwaruzana nao au maneno yangu yaliwakwaza mnoo mpk kunihukumu ndivyo sivyo..nawaomba radhi sanaa wewe unaenichukia Mimi sina shida na wewe moyo wangu mweupe kabisaa...huwaga siwezi kukaa na kinyongo na mtu Mimi!!nahitaji amani..
Jf imenikutanisha na watu mhimu mnoo nawapenda sana kina shunie,mzigua mama Sabrina ,binamu yangu heaven sent, espy,nalendwa ,Evelyn salt,sky,nifah,mumu,witnessj nk u guys nawaheshimu nawapenda pia sana tu!!hawa ni wachache ila mpo wemgi mnoooo...wapo pia washkaji zangu wa kiume siwataji kwa sababu za kiusalama zaidi ila mwajijua wenyewe[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] sitaki question marks!!miyee....!!!
Wengine pm tu hapo ila mmekua na ushauri mzuri kwangu mpk najihisi faraja kua karibu nanyi watu kama ninyi mhimu kuwapoteza kwangu ni dhambi sana...!!!
Maisha mafupi sana haya kuna Leo na kesho nawapenda,nawaheshimu nawajali,kwa yoyote niliyemkosea narudia tena I'm sorry I didn't mean to hurt u...!!Mimi nina dini naamini kuna kifo na kesho kwa Mungu kuna kujibu kila jambo baya na zuri unalotenda hapa ulimwenguni!!
Tuendelee kuchat,kukotiana,na vitu vingine!!!wewe mwenye shida na Mimi,miye sina shida na wewe,nna amani ndani ya moyo wangu!!
Muwe na j2 njema waislamu mswali wakristo muende kanisani!!!Mungu yupo(kwa siye wenye dini)usie na dini baki hvyo hvyoo...!!!
Anaenigusa anajipenda sasa [emoji6][emoji6]Hahaaa...wewe ni ke jamani!!hakuna shida hata kukutaja [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!hao hapo nimewataja tu kama sampo!!
Wewe huyo utapigwa shauri zako penda tu ugomvi
Ukifika mwanza njooo kukupoa mjini kabisaNipe Mimi location nije nianzishe zengwe hapo.
Mimi sikumbuki kama umenikosea,ila nimekusamehe.
Nimesema sikumbuki bibie. Ila nimemsamehe hata kama akija kunikosea.sasa kama hajawah kukukosea inakuaje useme umemsamehe!πππ binamu buana
πNimesema sikumbuki bibie. Ila nimemsamehe hata kama akija kunikosea.
Au nakosea ?
Nakutafuta.....π
njoo moro hotel chapπNakutafuta.....
Embu atakaesema umemkosea nitag itakuwa ajabu la 8 la dunia maana wewe hata kuandika ni ishu huwaga tustari tuwili tudunchu.maneno mazuri yenye busara...safi.
natamani na mimi niCopy niPaste uzi wa hivi kuomba radhi.