Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure😁😁kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale😂😂woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...

Cc:members wote wa jf😘😘😘😘muah muah,.tusikose tuu pati disemba😉😉yay
 
Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure[emoji16][emoji16]kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale[emoji23][emoji23]woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...

Cc:members wote wa jf[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]muah muah,.tusikose tuu pati disemba[emoji6][emoji6]yay
samehe 7 mara 70[emoji1]
 
Back
Top Bottom