Nitakutafuta kwa muda wangu............njoo moro hotel chap😕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitakutafuta kwa muda wangu............njoo moro hotel chap😕
poaNitakutafuta kwa muda wangu............
Nashukuru kwa kunielewa.
PM yako iko wazi au imefungwa ?
;najua basPM yako iko wazi au imefungwa ?
Una kazi mkuu mpaka ya kuangalia waliolike wengine ndio tunaingia sasa hivi na like tumeshatoaAfu mademu wote alowataja hawajakupa like hata moja till now
Mkuu kuna shida gani kuangalia like kama niliweza kusoma majina yote ya kwenye listUna kazi mkuu mpaka ya kuangalia waliolike wengine ndio tunaingia sasa hivi na like tumeshatoa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23];najua bas
Sawa mkuu ubarikiwe ndio tunaingia sasa hiviMkuu kuna shida gani kuangalia like kama niliweza kusoma majina yote ya kwenye list
Bila shaka hata wewe kuna watu mnafahamiana humuHivi kuna watu humu mpk ‘mnafahamiana’ mpk kuombana msamaha?
Poa;najua bas
samehe 7 mara 70[emoji1]Woww,.that's ma girl,..nimezidi kukupenda buree vero wangu,.jomoniii namm mnisamehe tuu bure[emoji16][emoji16]kufungua uzi siwezi ila kupitia huu mniwie radhi tuu kama kuna mtu nilimuumiza kwa chochote kile,japo na mm kuna wanazengo walijua kunikwanza lakini uzuri sijui kubeba vinyongo mtoto wa kike ndio maana kilo zangu ziko palepale[emoji23][emoji23]woii,.nawapenda members wooote leo na kesho peponi,.natamani hivi tulivyo tuingie wote peponi aww yeaahh...
Cc:members wote wa jf[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]muah muah,.tusikose tuu pati disemba[emoji6][emoji6]yay
Nilishasamehe na kuachilia,..hahaasamehe 7 mara 70[emoji1]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Babe wangu umenisamehe???😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Achilia vyote mpaka na PM basi ,nikufate mtoto mzuri[emoji23]Nilishasamehe na kuachilia,..hahaa