Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

On a serious note.
Ray you're such a sweetheart dear. I'm not sure what you was thinking to come up with something like this but, you're too sweet.
This's just social media but still, at the end of the day we're all humans with feelings.

Humu ndani tunavyoenda, some, don't care much about other's feelings. Well, it's fake IDs anyways. Lakini kitu ambacho watu wanasahau, behind a fake ID, there's a human being with feelings. Na jinsi ambavyo that human being anaguswa na anafurahia some of the things in here, ndo hivyo pia anaweza kuguswa na kuumizwa with some of the things in here.
But then, we all deal with kufurahiswa ama kuumizwa, differently.

Ambavyo umeamua kuja na hii, kwa watu ambao wengine hata huwafahamu, shows how mature you're, Mentally&Spiritually.
Halafu hunaga issues na watu kivile. You speak up your mind, you laugh, have fun and move on. You always just fly girl!
Unajua nakupendaga lakini hii imenifanya nikupende zaidi. Umeonyesha kuna uwezekano kuwa Nice, Loving, Sweet and Mature kwenye social media kama hii, ambayo watu wengi wanatengeneza connections kwa ajili ya manufaa ya maisha yao, marafiki zao, ndugu na hata jamaa zao.

Keep it up Girl! ❤
Sijasoma mpaka mwisho,.ila yo' nailed dear!!!👏👏👏
 
Keep it up Girl! [emoji173]
Aweeeeew!!![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] speechless honey!!!!thanks for this dear!!!sina cha kuongeza

Jua nakupenda sana dear!!!
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nakupenda wajua hilooo...how I wish to be near u one day!!!najua ntaongea kinge...kama choteee!!!!within no time!!!

[emoji85] [emoji85] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

😀😀😀😘😘
 
Back
Top Bottom