Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

Nimejisikia kuomba msamaha kwa kila niliyemkwaza humu JamiiForums

😀😀😀😀

Inaonekana mchezo mkubwa utakaokuwepo na kufurahisha ni wa ku guess.
Who's Who! 😀
[emoji2] [emoji2] [emoji2] nikiona mdada wa kishua mzuriii!!analipa classy byuti,kashika wine amevaa kizungu zungu najua wewe huyooo!!!!napiga mstari tuuu!!!!
 
Kuombwa au kuomba msamaha kwa mtu ambye sijamkosea au kunikosea ni kulifanya neno samahani kuonekana halina maana tena.. Nasema hvyo kwa kuwa haujanikosea.
 
Jamanii, speechless here..

Hahaha!, eti utacheza na nani! 😀😀😀
Hiyo party inaonekana itakuwa fire!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] wanaongeea kinge tu!!ili nikuone weyee...hahaaa...party itakua hot hot!!!

Naisubiria haswaa
 
Back
Top Bottom