Nimejisikia tu...

Nimejisikia tu...

Samahani bae scorpio me ila nataka tu nimuhakikishie huyu jamaa kuwa ni wewe haswaaa.

Cc supermarket
 

Attachments

  • 13658892_263966203987826_1138245928_n.jpg
    13658892_263966203987826_1138245928_n.jpg
    18 KB · Views: 35
  • 13658745_532987590242693_631033858_n.jpg
    13658745_532987590242693_631033858_n.jpg
    27.8 KB · Views: 46
Mkuu ni mimi....umemind mzigo nikupe dadangu wa pili? Ndo tumefanana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu nifanyie mpango kwa dada ako wa pili na mimi nisafishe nyota.
Ukinitumia picha yake nimuone na chura kabisa, selfie hainitoshi mimi[emoji6]
*U have such a beautiful eyes, nice skin and cute face mashallah
 
Hajaokota dodo kune mchungwa, ye mwenyewe ushawahi mwona alivyo?...
Hapo ni dodo kune mti wake kabisa.
Zali la mentali linataka kunidondokea, sina budi kulipokea kwa mikono miwili. Na hivi mimi ni bikra sijawahi kufanya wala kutoka na demu yoyote tangu nizaliwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*mdogo wako atafurahi sana kunipata mimi
 
Mkuu maisha ya kuwatendea wengine mazuri na kuwatia wengine moyo na kuacha alama ya kumbukumbu katika maisha yao ndiyo kitu nakitamani sana.

By the way,naomba sasa niifute post zenye picha za scorpio me .
Sasa picha unaifuta ya nini mkuu, usiifute unajua wapo watu wengi humu. Bado wanahitaji kuiangalia angalia pic
*wenye stress wanasafisha macho
*members chaputa wanapita
*ukichati chitchat unaangali sura ya unaechat nae
--Yote 9 mkuu mimi naiangalia picha ya shemeji kuvuta picha ya mdogo wake alivyo mbichi[emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom