Mkuu ni yeye Kiukweli ukweli. Mimi ndo mpenzi wake. Nakuhakikishia ni yeye.Kwenye hiyo picha ni wewe kiukweli ukweli? au ni picha tu kama picha nyingine.
Mkuu ni mimi....umemind mzigo nikupe dadangu wa pili? Ndo tumefananaKwenye hiyo picha ni wewe kiukweli ukweli? au ni picha tu kama picha nyingine.
Mkuu umepata demu mkali sana, tuachane na masikhara. Kama kiukweli ukweli ni wako basi umeokota embe dodo kwenye mchungwaMkuu ni yeye Kiukweli ukweli. Mimi ndo mpenzi wake. Nakuhakikishia ni yeye.
Kawaida tu Mkuu wangu. Usijali ni mambo ya kawaida.Mkuu umepata demu mkali sana, tuachane na masikhara. Kama kiukweli ukweli ni wako basi umeokota embe dodo kwenye mchungwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu ni mimi....umemind mzigo nikupe dadangu wa pili? Ndo tumefanana
Hajaokota dodo kune mchungwa, ye mwenyewe ushawahi mwona alivyo?...Mkuu umepata demu mkali sana, tuachane na masikhara. Kama kiukweli ukweli ni wako basi umeokota embe dodo kwenye mchungwa
Baba wee baba hiyo sio kawaida, kawaida gani mtoto mzuri kama huyo..Kawaida tu Mkuu wangu. Usijali ni mambo ya kawaida.
Zali la mentali linataka kunidondokea, sina budi kulipokea kwa mikono miwili. Na hivi mimi ni bikra sijawahi kufanya wala kutoka na demu yoyote tangu nizaliwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajaokota dodo kune mchungwa, ye mwenyewe ushawahi mwona alivyo?...
Hapo ni dodo kune mti wake kabisa.
Mkuu achana na uzuri. Upendo na roho yake nzuri ndivyo vilivyonifutia.Baba wee baba hiyo sio kawaida, kawaida gani mtoto mzuri kama huyo..
Kuna bahati gani nyingine unaitaka dunia hii kama kupata mtoto mzuri kama shemeji scopio meSamahani bae scorpio me ila nataka tu nimuhakikishie huyu jamaa kuwa ni wewe haswaaa.
Cc supermarket
Mkuu maisha ya kuwatendea wengine mazuri na kuwatia wengine moyo na kuacha alama ya kumbukumbu katika maisha yao ndiyo kitu nakitamani sana.Kuna bahati gani nyingine unaitaka dunia hii kama kupata mtoto mzuri kama shemeji scopio me
Ulimpataje pataje mkuu, nje ya JF au..mimi nikikutana face to face na mdogo wake scorpio me nitasahau hadi kutongoza[emoji23] [emoji23]Mkuu achana na uzuri. Upendo na roho yake nzuri ndivyo vilivyonifutia.
Hahaha! Utabaki kuduwaa tu. Hahahaa!Ulimpataje pataje mkuu, nje ya JF au..mimi nikikutana face to face na mdogo wake scorpio me nitasahau hadi kutongoza[emoji23] [emoji23]
Sasa picha unaifuta ya nini mkuu, usiifute unajua wapo watu wengi humu. Bado wanahitaji kuiangalia angalia picMkuu maisha ya kuwatendea wengine mazuri na kuwatia wengine moyo na kuacha alama ya kumbukumbu katika maisha yao ndiyo kitu nakitamani sana.
By the way,naomba sasa niifute post zenye picha za scorpio me .
bhas mkuu,nsamehe naishi hapa ase...ata asije nikuwa natania.Aje kufanyaje? Mbona nimeshafika kitambo Mkuu? Aisee,mkuu angalia nyendo.
Cc scorpio me
Madaktari wanasema kumiliki tu mtoto mzuri kama scorpio me kunaondoa stress[emoji1] [emoji1]Hahaha! Utabaki kuduwaa tu. Hahahaa!
Ni nje ya JF bhanah Mkuu.
Kuwa makini siku nyingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]bhas mkuu,nsamehe naishi hapa ase...ata asije nikuwa natania.