Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Biashara matangazo, uzuri ni kwamba humu JF hulipii hata senti moja.
Hahahaa! Mwambie utammaliza.Kuwa makini siku nyingine[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mlinzi/bodyguard John Cena
Mashallah kuna madem wana lips nzuriBiashar
Biashara matangazo, uzuri ni kwamba humu JF hulipii hata senti moja.
Kwa hiyo unadhani anajiuza Mkuu? Basi mfate PM uongee naye bei.nr
Biashara matangazo, uzuri ni kwamba humu JF hulipii hata senti moja.
Sawa Mkuu. Pamoja mkuu wangu.bhas mkuu,nsamehe naishi hapa ase...ata asije nikuwa natania.
Mkuu nina uzoefu katika sekta ya ulinzi na usalama, na pia natoa kipigo kwa mbishi yoyote[emoji1] [emoji1]Hahahaa! Mwambie utammaliza.
Hahahaha! Kumbe unafanya kazi kwa sababu unategemea kupewa dogo lake? Hahha,tatizo itakuaje asipokubali?Mkuu nina uzoefu katika sekta ya ulinzi na usalama, na pia natoa kipigo kwa mbishi yoyote[emoji1] [emoji1]
*Lazma nionyeshe msisitizo, si unajua nimeahidiwa mdogo wake
Nyumba unayoishi inabidi kuwe na vitu kadhaa kwenye uboreshaji.Sawa Mkuu. Pamoja mkuu wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha! Kumbe unafanya kazi kwa sababu unategemea kupewa dogo lake? Hahha,tatizo itakuaje asipokubali?
Hahahhaa! Mkuu kwa mantiki hiyo si hatatoka nje kabisa katika kusaka sarafu za kusongesha gurudumu? Aagh,vyote hivyo hatuna na namuamini sana tu. Aendapo popote mi sina hata haja ya kuwa na hofu yeyote scorpio me ni muaminifu sana,hawezi nisaliti Mkuu!Nyumba unayoishi inabidi kuwe na vitu kadhaa kwenye uboreshaji.
*geti kubwa
*mbwa mkali
*vitu vya sokoni na dukani viwe humohumo
*awepo bodyguard in case of emergency
*salon inabidi iwepo humo humo ndani, mashoga(marafiki) hawaaminiki
*utunzaji wa skin yake adimu vitu natural sio mkorogo
Imani yako imekuponyaHahahhaa! Mkuu kwa mantiki hiyo si hatatoka nje kabisa katika kusaka sarafu za kusongesha gurudumu? Aagh,vyote hivyo hatuna na namuamini sana tu. Aendapo popote mi sina hata haja ya kuwa na hofu yeyote scorpio me ni muaminifu sana,hawezi nisaliti Mkuu!
Ahsante sana Mkuu,naona unaelekea kabisa kwenye kunilisha Chakula cha Uzima. Unaanza kuniahawiashi nikupigie debe kwa shemeji.Imani yako imekuponya
Mkuu unafanya vizuri kujiamini na kumpa uhuru na kumjengea uaminifu.
"Yesu akajibu, akamwambia, Mwaminini Mungu."
[emoji117]Marko 11:22
"Na Mungu, ajuaye mioyo ya watu, akawashuhudia, akiwapa Roho Mtakatifu vile vile kama alivyotupa sisi;
wala hakufanya tofauti kati yetu sisi na wao, akiwasafisha mioyo yao kwa imani."
[emoji117]Matendo ya mitume 15:8-9
Huwa sina tamaa ya kuwazoea wadada kweny social networks.Kwako nimetaman nikuzoee
[emoji117]Tazama, jinsi ilivyo vema, na kupendeza,Ndugu wakae pamoja, kwa umoja.” Zab.133:1Ahsante sana Mkuu,naona unaelekea kabisa kwenye kunilisha Chakula cha Uzima. Unaanza kuniahawiashi nikupigie debe kwa shemeji.
Elezea vizuri mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa sina tamaa ya kuwazoea wadada kweny social networks.Kwako nimetaman nikuzoee
Hivi shemeji umesema unatumia kinywaji gani vile?Ahsante sana Mkuu,naona unaelekea kabisa kwenye kunilisha Chakula cha Uzima. Unaanza kuniahawiashi nikupigie debe kwa shemeji.
HahaHuwa sina tamaa ya kuwazoea wadada kweny social networks.Kwako nimetaman nikuzoee
Mkuu,Scopio ni mtu mzima.Keshaelewa ni nin kitaendelea baada ya kumzoea.Elezea vizuri mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
*Yani baada ya kumzoea, halafu nini kinafuata[emoji12]
*kingine usiwazoee hao wengine wote kwenye social network umzoee huyu what's so special?[emoji1]
*nipo sekta ya mapokezi (reception), yani kwa kifupi mpambe nimekabidhiwa rungu au mpenda kula kakabidhiwa uandazi.
Compact hebu muone huyu[emoji115]Mkuu,Scopio ni mtu mzima.Keshaelewa ni nin kitaendelea baada ya kumzoea.
Nimependa nimzoee yeye kwa jins alivo(kama kwel ndie yeye huyo)
Mkuu huyo atawayaya tu. Muache ahangaike.Compact hebu muone huyu[emoji115]
Naomba nipe kazi au niuzie kesi[emoji1]