Nimejisikia tu...

Kama compact hana hela ni PM mimi , nitakupangishia nyumba upanga
 
Mkuu,Scopio ni mtu mzima.Keshaelewa ni nin kitaendelea baada ya kumzoea.
Nimependa nimzoee yeye kwa jins alivo(kama kwel ndie yeye huyo)
Mkuu angalia ukamzoea alafu ukaja kuzoelea. Vitu vina wenyewe. Kuna vitu havizoeleki,mfano moto
 
Kwa hiyo unadhani anajiuza Mkuu? Basi mfate PM uongee naye bei.
Mkuu kuna vitu vya kununua hapa duniani lakini sio "dudu". Kwanini nitumie gharama kubwa kununua dhambi?? MUNGU hakunileta hapa duniani ili nije ninunue "dudu". Kila mwanamume anapaswa kutulia na mke wake wa ndoa na hivyo ndivyo Mwenyezi MUNGU alivyopanga iwe.
 
Na mimi nilikushangaa kuanza kumzungumzia mke wangu kwamba anafanya matangazo ya biashara. Hivi wewe ungefurahia?
 
Na mimi nilikushangaa kuanza kumzungumzia mke wangu kwamba anafanya matangazo ya biashara. Hivi wewe ungefurahia?
Mkuu kama huyo ni mkeo na anarusha picha zake humu JF ili kuwaonyesha watu uzuri wa sura yake huku shati aliyovaa ikiwa imefunguliwa vifungo, basi tambua kwamba she is in the wrong place, at the wrong time, doing wrong things. Dunia imejaa mbwa mwitu wakali sana, unapomuachia Sungura wako mbele ya mbwa mwitu, akiraruliwa usilalamike. Adamu angejua Hawa atadanganywa na nyoka kirahisi, nadhani asingemruhusu kutembea peke yake Bustanini na ku interact na viumbe wengine. Kama vile nyoka alivyokuwa mjanja na mwerevu, pia kuna watu humu JF ni wajanja sana na waerevu kukuzidi wewe. Haya shauri yako. Na wanawake wanawapenda sana watu wajanja wajanja.
 
Wajanjawajanja kama domo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…